Burudani

Gigy Money afanya maajabu mbele ya wasanii wa WCB jukwaani, Sister Fey akimmwagia manoti Romy Jons (+video)

Msanii wa kike wa muziki wa Bongo Fleva, Gigy Money naye ni moja ya wasanii walioalikwa kwenye Birthday Party ya Romy Jons ambapo aliwaacha midomo wazi  watu waliohudhuria kwenye tamasha hilo kwa kucheza wimbo wake wa Nampa Papa.

Wengine waliohudhuria kwenye sherehe hiyo ni Sister Fey ambaye yeye akimmwagia manoti yasiyoyokuwa na hesabu Romy Jons.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents