Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano
Hamisa Mobeto yupo njiani kuacha muziki, nilitaka nijaribu tu
Jana kwenye Iftar ya @wemasepetu tulikutana na @hamisamobetto na kuzungumza naye baadhi ya mambo kuhusu muziki wa Bongo Fleva.
@el_mando_tz alimuuliza kuhusu Tuzo zilizotangazwa na kusema kuwa kwa upande wake hana taarifa kama kuna tuzo zimetangazwa.
@hamisamobetto ameongeza kuwa kwenye muziki hana muda sana kwani alikuwa anafanya kwa sababu anapenda ila hana muda mrefu.