Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Hamisa Mobeto azungumzia urafiki wake na Wema Sepetu

Jana kwenye Iftar ya @wemasepetu tulikutana na @hamisamobetto na kuzungumza naye baadhi ya mambo kuhusu muziki wa Bongo Fleva.

@el_mando_tz alimuuliza kuhusu Tuzo zilizotangazwa na kusema kuwa kwa upande wake hana taarifa kama kuna tuzo zimetangazwa.

@hamisamobetto ameongeza kuwa kwenye muziki hana muda sana kwani alikuwa anafanya kwa sababu anapenda ila hana muda mrefu.

Mbali na hilo mwanadada Hamisa Mobeto ameeleza kuhusu ukaribu wake na Wema Sepetu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents