Burudani

Harmonize atoa msaada wa viti 26 vya kutembelea kwa walemavu wa miguu Dar (Video)

Msanii wa muziki Harmonize Alhamisi hii ametoa misaada ya viti 26 vya walemavu wa miguu kwa walemavu 26 ambapo aliweza kimtelea kila mmoja mpaka anapofanya kazi au anapoishi na kumkabidhi. Msaada huo uliambatana na pesa ambapo zitawasaidia kwaajili ya mambo madogo madogo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents