Burudani
Harmonize na ishu ya kutopost kampeni ya matibabu ya Ruge ‘labda insta yangu kuna vitu vya msingi vilikuwa vinaendelea’ (Audio)
Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize akiwa katika kipindi cha The Playlist cha Times FM amefunguka kuzungumzia sababu ya yeye kutopost kampeni iliyokuwa inaendelea ya matibabu ya marehemu Ruge Mutahaba.