Burudani

Harmonize: Nivae dela ndio mseme simkopi Diamond?

Shutuma kuwa amekuwa akimuiga bosi wake Diamond, zimemchosha Harmonize na sasa ameamua kujibu.

13736962_1801367406748451_1602669638_n

Baada ya video ya wimbo Inde alioshirikishwa na Dully Sykes kutoka, mashabiki ndio wamezidi kuendelea kusisitiza kuwa msanii huyo anamuiga kwa kiasi kikubwa Diamond.

Harmonize ambaye mara nyingi amekuwa akisisitiza kuwa ndivyo yeye alivyo na yeye sasa ameonekana kuchoshwa na malalamiko ya mashabiki hao ambapo amejikuta akiandika ujumbe wenye utata kwenye Instagram:

Mhhh copy! copy! copy!….. mwisho wa siku hata ukinya utaambiwa kunya kama wewe usimcopy@diamondplatnumz ebwana mzee#simbaa video ijayo wacha nianze kuvaa Dera maana nguo zote ushazivaa ????????????#INDE in my BIO though????

Screen-Shot-2016-08-13-at-9.40.39-PM

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents