Habari

Haya ndio makosa yanayomkabili Ole Sabaya (+ Video)

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake watano, leo wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha na kusomewa mashtaka matano ikiwemo la uhujumu uchumi, unyang’anyi kwa kutumia silaha, kushiriki vitendo vya rushwa kwa kupokea milioni 90. Wote wamekosa dhamana.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents