Burudani

Hi Haters! Beyonce aimba live wimbo wa taifa kwenye Press Conference ya Superbowl

beyonce-national-anthem-live-at-super-bowl-press-conference-08_zps9b5e88fe

Baada ya baadhi watu nchini Marekani kumcheka na kumkejeli Beyonce kufuatia kutoimba live wimbo wa taifa wakati wa kuapishwa kwa rais Barack Obama mwezi uliopita, mrembo huyo jana amewaprove wrong kuwa kipaji anacho na habahatishi kwa kuimba live wimbo huo kwenye press conference ya Superbowl. Check video hiyo hapa chini:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents