Michezo

Hivi ndivyo Bongo zozo alivyokabidhiwa Ubalozi na bodi ya Utalii, Baada ya kutoka Bungeni Dodoma – Video

Hivi ndivyo Bongo zozo alivyokabidhiwa Ubalozi na bodi ya Utalii, Baada ya kutoka Bungeni Dodoma - Video

Baada ya kutangazwa kuwa balozi wa kutangaza utalii wa Tanzania nje ya nchini na kupelekwa Bungeni kutambulishwa, Nick Reynolds maarufu Bongo Zozo aeleza alivyokataa dili ambalo angelipwa fedha nyingi ili apate nafasi ya kuishangilia timu ya Aston Villa itakayocheza na Manchester City katika mchezo wa fainali ya kombe la Carabao nchini Uingereza Machi Mosi, mwaka huu 2020.

By Ally Juma.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents