Burudani

Husna Sajenti aamua kujiuza kupitia ‘Kashinde’ (Video)

Msanii wa filamu, Husna Sajenti ameamua kuigiza anajiuza (dada poa) ili kuelimisha jamii juu ya matatizo makubwa yanayowakuta wasichana hao katika maisha yao. Muigizaji huyo kupitia filamu yake mpya iitwayo ‘Kashinde’ amecheza nafasi hiyo huku adai yeye mwenyewe hajawahi kuingia katika maisha yao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents