HabariMichezo

Huyu sio Drogba ni Valentino Mashaka

Bwana mdogo amefikisha magoli manne katika msimu wake wa pili na akiwa amepata nafasi katika michezo yote Klabu yake ya Geita imecheza yupo katika kiwango Bora ana ngumu ana speed anajua kupiga mashuti Moja kati ya washambuliaji vijana ambao wameanza kuonesha makali Yao.

Mpaka Sasa amefanikiwa kufikia takwimu zake za msimu wake wa kwanza kwa kufunga Magoli manne katika mechi 11 ndani ya Ruvu Shooting ambayo alijiunga nayo dilisha dogo na kupewa nafasi dakika za mwisho na kufanikiwa kufunga Magoli manne maanake amekuwa na muendelezo Bora kijana huyu kutoka Academy ya ya Azam FC.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents