Michezo

Ibrahimovic azitolea nje klabu za China

Mchezaji wa klabu ya Manchester United, Zlatan Ibrahimovic pamekuwa na taarifa zinasema kuwa amezikatalia klabu za nchini China, hizi ni zile klabu ambazo zimekuwa na nia ya kumsajili akakipige kule kwao.

Uongozi wa Manchester United umejipanga kuzungumza na mchezaji huyo ambaye sasahivi anamagoli 12 katika ligi ya EPL ili kumuongezea mkataba mpya wa kuendelea kubakia United.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents