Bongo5 ExclusivesBurudaniFahamuHabari

Bendi hii ya wasichana iliundwa baada ya kutengwa na bendi za kiume

Hii ni bendi ambayo imeundwa na wasichana watupu watano ambao wanautaalamu wa kuchezea vyombo vya muziki.

Waliamua kujikusanya kutokana na utaalamu wao wa kuchezea vyombo vya muziki wakaona watengeneze jambo la pamoja.

Baadhi yao wameeleza namna walivyokutana na changamoto mbalimbali kwenye bendi zenye mchanganyiko na wanaume.

Hii bendi inajiita @urban_queenstz imeundwa na wasichana wa Kitanzania walioamua kutengeneza bendi yao ili waonyeshe talenti zao lakini pia wajipatie kipato.

Wasikilize @urban_queenstz halafu toa maoni yako hapo chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents