Burudani

I’m still very single – Recho Kizunguzungu

Recho is single and ready to mingle guys.

Akiongea na Bongo5 hivi karibuni, Recho amedai kuwa bado hajampata mwanaume anayeweza kumuita wake na ambaye huenda wanaweza kuzaa watoto pamoja.

“Bado nipo single, nafanya kazi kwanza, wanaume wapo,” alisema Recho baada ya kicheko kirefu.

Recho anaamini kuwa ni rahisi kwa msichana mrembo na staa kama yeye kuendelea kuwa single na kwamba hayo ni maamuzi ya mtu mmoja mmoja.

Kitu kimoja anachokisema Recho ni kwamba anatafutwa sana! Mtazame kwenye interview hapo juu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents