Habari
IRINGA: Kamanda asimulia wafungwa walivyomjeruhi kwa panga askari na kumpora bunduki
Wafungwa wanne wampora askari magereza bunduki na kumjeruhi na panga usoni. Tukio lasimuliwa lilivyokuwa na kamanda.
Wafungwa watatu walikamatwa siku hiyo hiyo na baadaye nyamapara alipatikana siku inayofuata mkoani Njombe.
https://www.instagram.com/p/CH2TFP4hJUF/
https://www.instagram.com/p/CH2TFP4hJUF/