Burudani

Izzo Bizness adai hawezi kutoa wimbo bila mama yake kuupitisha

Rapper Emmanuel Simwinga aka Izzo Bizness, amesema kabla hajatoa wimbo ni lazima ampe mama yake ausikilize kwanza.

Izzo

Izzo ameliambia gazeti la Mtanzania kuwa tabia hiyo aliianza baada ya kutoa wimbo wake wa kwanza wa ‘Bizness’ na alipoupitisha ukawa na mafanikio makubwa.

“Huwa namtumia nyimbo mbili kisha yeye anachagua upi niutoe,” alisema.

“Nipo tofauti na wasanii wengi ambao kabla hawajatoa wimbo huwa wanawapa watangazaji, madj na wadau wengine wa muziki. Lakini mimi mama yangu ndio amekuwa mchaguzi wa nyimbo zangu.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents