Burudani

J.Cole aweka rekodi mpya kwenye muziki wa hiphop

Rapper J. Cole amefanikiwa kupata double platinum kwa kuuza kopi zaidi ya milioni 2 za album yake, 2014 Forest Hills Drive bila collabo yoyote.

j-cole-lollapalooza

Hiyo ni kwa mujibu wa Recording Industry Association of America. Hatua hiyo ni ya muhimu kwenye muziki wake.

cole

Hii inakuwa ni album ya kwanza ya J Cole kufikia mauzo hayo. Album yake ya mwaka 2011 Cole World: The Sideline Story, na ya mwaka 2013 Born Sinner zote ziliuza kopi milioni moja tu.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents