Habari

Janet Jackson na Wissam Al Mana walifunga ndoa kwa siri mwaka jana

Janet Jackson na mume wake Wissam Al Mana wamethibitisha kwenye maelezo kuwa tayari wamefunga ndoa tangu mwaka jana.
Janet_Jackson_Wissam_Al_Mana_130225_360_zps8a56b65e
Hii ni ndoa nyingine ya siri ya Janet ambapo maelezo yao yalisomeka.

“Tetesi kuhusiana na harusi ya kifahari si kweli. Mwaka jana tulifunga ndoa kwenye sherehe tulivu, private na nzuri. Zawadi zetu za harusi kwetu sisi wenyewe zilikuwa ni kuchangia vituo vya watoto wasio na uwezo tuvipendavyo.Tungefurahi kuwa maisha yetu binafsi yanaheshimiwa na kwamba tunahuruhusiwa kuwa na muda huu wa kusherehekea na furaha. With love, Wissam and Janet”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents