Juma Lokole: Alikiba alichoka kucheza nyimbo za WCB chumbani kujificha, ameona aweke wazi kila mtu ajue (+ Video)

Mtangazaji wa Wasafi media @jumalokole2 ameeleza kufurahishwa na kitendo cha @officialalikiba kucheza nyimbo za wasanii wa WCB hadharani na kusema amechoka kucheza chumbani ameona bora acheze hadharani.


@jumalokole2 ameongeza kuwa yeye anamkubali sana @officialalikiba ila anamshauri kitu kuhusu @mwijaku na @soudybrown , Mwijaku na msaliti bora Soudy Brown kwahiyo alikiba awe naye makini sana maana ameshamsaliti Harmonize.

“Nimeshangaa sana kuona Alikiba ancheza nyimbo ya Harmonize ya watoto Happy birthday ili ni aibu ameona amfurahishe tu maana Harmonize ametoa nyimbo nyingi sana lakini jiulize Alikiba anasema anaipenda Happy Birthday ”

Related Articles

Back to top button