Burudani

Justin Bieber atuhumiwa kwa jaribio la wizi wa simu

Justin Bieber anatuhumiwa kwa jaribio la wizi wa simu, polisi wamesema.

Justin-Beiber-justin-bieber-33927518-612-528

Polisi wa Los Angeles hajatoa maelezo zaidi. Msemaji wa LAPD, Rosario Herrera amesema tukio hilo limetokea Jumatatu hii. Inasemekana kuwa polisi waliitwa kwenye eneo la tukio baada ya Justin kujaribu kuchukua simu ya mkononi ya msichana.

TMZ inadai kuwa msanii huyo na wapambe wake walikuwa kwenye ugomvi na msichana huyo alikuwepo pale na kumuomba ampe (Bieber) simu ili afute picha alizokuwa amepiga. Alipokataa, aliingiza mkono kwenye mkoba wake na kuichukua simu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents