Burudani
Jux kuingiza sokoni nguo zenye picha yake
Msanii wa muziki, Juma Jux anatarajia kuingiza sokoni biashara yake mpya ya nguo ambazo zina picha ya sura yake.
Jux ambaye ameweka picha za nguo hizo facebook ameandika:
“My 25 Jux Vests Line zitaanza kuuzwa pale –> star look – Sinza exclusively very soon! zipo kwa jinsia zote kwa wanaume na wanawake pia!!”