Burudani

Jux: Vee Money mshkaji wangu tu

Muimbaji wa ‘Uzuri Wako’ Jux amekanusha tetesi za mtaani kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na hitmaker wa ‘Come Over’ Vanessa Mdee aka Vee Money.

page

Jux aliyekuwa akihojiwa kwenye ‘You Heard’ ya XXL, Clouds FM leo kwa simu nchini China wakato akiwa location akishoot video ya wimbo wake mpya ‘Nitasubiri’, Jux alidai kuwa Vanessa ni rafiki yake tu na hakuna uhusiano mwingine zaidi ya huo.

“Hamna mshkaji wangu, rafiki yangu tu hakuna kitu chochote kinachoendelea,” alisema Jux kukanusha tetesi hizo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents