Burudani

Kanye West ataja orodha ya nyimbo zitakazokuwemo kwenye ‘Swish’

Kanye West anaonekana tayari ameikamilisha albamu yake mpya, Swish.

kanye-wang

Zikiwa zimebaki wiki tatu kabla ya kuachiwa rasmi, Yeezy ametumia Twitter kutaja nyimbo zilizomo kwenye kile anachokiita ‘albamu bora ya muda wote.’

Ameshare picha ya karatasi iliyoandikwa kwa mkono majina ya nyimbo hizo ambayo pia imesainiwa na shemeji yake, Kylie Jenner.

Chini ni nyimbo zilizomo:

1. “Ninja Chop”
2. “Father Stretch My Hands”
3. “Waves”
4. “High Lights”
5. “30 Hours”
6. “No More Parties in LA” (feat. Kendrick Lamar)
7. “Fade” (feat. Post Malone & Ty Dolla Sign)
8. “FML”
9. “Real Friends” (feat. Ty Dolla Sign)
10. “Wolves” (feat. Sia and Vic Mensa)

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents