Burudani

Khloe Kardashian alimpiga chini French Montana baada ya kugundua anammendea rafiki yake

Khloe Kardashian anadaiwa kuwa aliamua kumpiga chini mpenzi wake French Montana mapema mwezi huu baada ya kugundua kuwa alikuwa akimmendea rafiki yake..

1411332041396_wps_14_LAS_VEGAS_NV_JULY_04_Mali
Khloe na Malika

Kwa mujibu wa mtandao wa Media Take Out, Khloe aligundua kuwa mpenzi wake alikuwa akitumiana ujumbe wa simu kwa siri na rafiki yake Malika Haqq.

1411333352966_wps_20_UK_CLIENTS_MUST_CREDIT_AK
French Montana na Malika (kulia)

Chanzo kimoja kiliuambia mtandao huo kuwa Khloe alizigundua sms hizo aliposhika simu yake. Hata hivyo kimesema kuwa urafiki wa Khloe na Malika bado upo palepale na kwamba hakuwa akimpenda Montana kwa dhati.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents