Burudani

Kim Kardashian anaitaka talaka kwa nguvu kutoka kwa Kanye West, sababu hazijaelezwa

Kim Kardashian rasmi amethibitisha kupitia Wakili wake kuwa anadai talaka kwa Rapper Kanye West baada ya miaka sita ya ndoa yao na miezi kadhaa kwani  walifunga ndoa mwaka 2014 na couple yao ni miongoni mwa couple za Mastar zilizobamba Duniani ikifahamika kama Kimye, wawili hao wana Watoto wanne.

Taharuki ikitanda juu ya mahusiano yao kwa muda wa miezi kadhaa ikielezwa kuwa wanataka kuachana.

Wakili wa Kardashian amesema tayari mchakato wa talaka umeanza ingawa hajaweka wazi chanzo hasa cha Kim Kardashian kudai talaka hiyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents