Burudani
Kitale kumshirikisha Babu wa Loliondo kwenye filamu mpya
Msanii wa vichekesho Kitale amesema yupo kwenye mpango wa kuandaa filamu pamoja wimbo ambao ndani yake atamshirikisha Babu wa Loliondo.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Kitale ameandika:
Wimbo wng mpya na Movie yng mpya nitamshirikisha huyu babu nimegundua ana kipaji kikubwa sanaaaaa kwakweli namalizia mazungumzo nae ya mwisho na km kuna mzee nae alikuwa anatoa kikombe kijijini kwenu mwambie anitafute kuna movie mpya naandaa inawahusu wao tu.