Michezo

Beki wa Liverpool kuwa nje msimu mzima baada ya kuumia

Klabu ya Liverpool imepata pigo baada beki wake kushoto Joe Gomez kuumia na atakua atakuwa nje ya uwanja kwa msimu uliobaki. Gomez mwenye umri wa 18 aliumia goti wakati akiichezea timu ya taifa ya England chini ya miaka 21 katika mchezo dhidi ya Kazakhstan.

2D62045500000578-0-image-a-1_1444842467042

Kinda huyo amecheza michezo mitano ya ligi kuu msimu huu toka alipojiunga na Liverpool akitokea timu ya Charlton kwa dau la pauni million 3.5.

Kocha mpya wa Liverpool Jurgen Klopp anatarajia kuanza mchezo wake wa kwanza siku ya Jumamosi dhidi ya Tottenham huku akikosa huduma ya beki huyo.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents