Michezo

Kocha wa Everton Koeman afunguka haya baada ya ushindi (Video)

Kocha wa Everton Ronald Koeman amesema amefurahishwa na kiwango cha wachezaji wake walichokionyesha katika mchezo wao wa kirafiki dhidi ya Gor Mahia. Everton waliibuka na ushindi wa goli 2-1.

Pia alisema amefurahishwa na ukarimu wa watanzania katika kipindi cha siku mbili walichoishi nchini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents