Burudani

Kumbe kuvuja kwa audio ya Nandy na Mwijaku kuhusu Zuchu ni kugeukana 10% ya mdhamini wa Nandy Festival, GNM Cargo (Audio)

Baada ya wadau wengi kudhani zile audio za Nandy na Mwijaku kuhusu Zuchu ni kiki imetengenezwa, tumefuatilia kiundani na kugundua mgogoro uliopo kati ya Nandy na Mwijaku kuhusu 10% waliokubaliana kwa mdhamini ya Tamasha la Nandy Festival ambao ni GNM Cargo.

Kwa mujibu wa chanzo chetu kimedai wawili hao walikubaliana 10% ya tsh 50 ila baada ya dili kukamilika Nandy alimtuma mtu kumpelekea Mwijaku Tsh Milioni 3 ambayo ilikataliwa.

Taarifa zinawai Mwijaku ndiye aliyefanikisha kupatikana mdhamini huyo.

Mtakaba huo ni kwaajili ya show tatu za Nandy Festival ambazo zinaanza kutimua vumbi huko mkoani Ruvuma weekend hii.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents