HabariMichezo

Ladaki Chasambi 99% ni Mnyama, Je atapata nafasi.?

Kuelekea dirisha dogo klabu ya Simba imezidi inajipanga kwa kuendelea kuimarisha kikosi chake kwaarifa ambao bongo5 kutoka Rafiki wa menejimenti ya Mchezaji wa Mtibwa Sugar na timu ya taifa ya Tanzania bwana mdogo @Ladaki_68 tayari kwa Asilimia 99 amemalizana na Mnyama kilichobaki ni makubaliano binafsi ya mchezaji.

Ladaki ndiyo chagua la kwanza la klabu ya Simba kwa wachezaji wa ndani wakifutiwa na kiwango Bora Cha bwana mdogo ambacho amekionesha msimu pamoja na kuwa klabu yake inafanya vibaya lakini yeye amekuwa na kiwango Bora lakini pia Ladaki akiwa na misingi Bora ya maana akiwa amecheza katika ngazi zote za timu za vijana mpaka Sasa anacheza timu ya taifa ivyo viongozi wanaona ni chaguo sahihi.

Je Ladaki Chasambi atapata nafasi ya kucheza maana katika Misimu ya hivi karibuni Mnyama amekuwa Hana falsafa ya kuwatumia au kawaamini vijana wadogo wamekuwa wakikaa benchi kwa kiwango Cha Ladaki unafikiri anaweza kupata nafasi au atafata nyao za wenzake kama alifanikiwa kujiunga nao dirisha dogo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents