Burudani

Linah akiri kuwa mtandao wa Instagram umekuwa ukimliza na kumsononesha mara nyingi

Muimbaji wa ‘Ole Themba’ Linah amekiri kuwa mara nyingi mno amekuwa akilia kutokana na comments za Instagram.

10914319_881135268599992_1572668879_n

Ameiambia Bongo5 kuwa kinachomuuma zaidi ni watu kumdharau kuwa ni mfupi ilhali wakijua kuwa ndivyo alivyoumbwa.

“Ofcourse nakubali kwamba mimi ni mfupi, it’s fine, ndivyo nilivyoumbwa lakini so far nipo short but sexy wazungu wanasema, kwahiyo najiamini,” amesema mrembo huyo.

“Instagram imewahi kuniliza kwasababu najiuliza mbona imekuwa too much, kwanini imekuwa hivyo. Kwahiyo lazima nilie. Nikiomba ushauri naambiwa ‘Linah mti wenye matunda matamu haushi kupigwa mawe kwahiyo shukuru Mungu kuna baadhi wanatamani hata hivyo hawapati kwahiyo inamaanisha watu wanakufuatilia’.

Msikilize zaidi hapo chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents