Mahojiano

Lukamba: “Diamond ni hatari kwa kujifukiza, Mama yake ndio fundi” – Video

Mpiga picha wa msanii wa Bongo Fleva @diamondplatnumz @lukambaofficial ameeleza jinsi Boss wake @diamondplatnumz anavyojifukiza kwa lengo la kujikinga na Corona.


Lukamba ameongeza kuwa @diamondplatnumz ni hatari sana kwa kujifukiza maana @mama_dangote ndio fundi wa mambo hayo “Tunajipiga nyungu mmoja mmoja kuhofia kuambukizana Corona.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents