Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Lukamba: Wizkid au Davido wakiniomba ntafanya nao kazi siwezi kukataa hiyo nafasi

Lukamba ambaye kwa sasa anafanya pia muziki ameeleza kuwa ameacha kufanya kazi na @diamondplatnumz rasmi na amefungua kampuni yake mpya.

Akiongea na wana habari leo Dar Es Salaam @lukambaofficial ameeleza kuwa kufanya kazi na msanii kutoka Tanzania itakuwa ndoto labda amzidi @diamondplatnumz kwa ukubwa.

Mbali na hilo ameweka wazi kuwa endapo akitafutwa na wasanii kama @wizkidayo au @davido hawezi kukataa kufanya nao kazi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents