Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Madam Rita afafanua kuhusu Master Jay kuwakataza washiriki BSS kuimba nyimbo za Kenya

Madam Rita amezungumza kwa urefu na kufafanua kuhusu video iliyosambaa mitanndaoni ikimuonyesha Producer Master Jay ambaye pia ni miongoni mwa m,ajaji kwenye shindano la BSS kumkataza mmoja ya washiriki kuimba nyimbno za Kenya.

Madam Rita amezungumza na @el_mando_tz kupitia kipindi cha Recap na Mando na kufafanua kwa urefu sakata lilivyokuwa.

 

Related Articles

Back to top button