Burudani
Mario atangaza kuachia Album na EP
Staa wa Bongo Fleva na hitmaker wa ngoma kadhaa zikiwemo Mama Amina, Beer Tamu na zingine Marioo ameeleza kuwa amerekodi ngoma nyingi sana na kali hivyo ataachia album na EP.
Kupitia Insta Story yake Marioo ameandika kuwa: