Bongo5 ExclusivesBongo5 MakalaHabariMahojiano

Mashabiki wamjia juu Sallam Sk kisa kumshauri Mandonga asisindikize watu kwenye utajiri

Meneja wa Diamond Platnumz Sallam Sk alimshauri Mandonga kuwa kwa umaarufu aliona kwa sasa atafute namna ya kutengeneza pesa na sio kuwa maarufu tu baadae atajutia.

Hii ni kutokana na Mandogo kupata Attention kubwa sana nchini Kenya kwenye pambano lake ambapo alishinda kwa kumtwanga KO bondia wa Kenya Wanyonyi.

Kauli hiyo ya Sallam Sk imepokelewa kwa utofauti sana na wengi huku wengi wakihisi labda Sallam alikuwa anatafuta kiki kupitia Mandonga.

Wengine wakihisi labda Sallam anatafuta fursa kwa Mandongo na mambo mengine yakiongelewa na wengi wakienda mbali zaidi wakisema zamani Sallam alikuwa wapi ila ameona Mandonga ametoboa akaanza kuwatafuita ukaribu.

Kauli ile ya Sallam Sk wewe umeielewaje?? unahisi Sallam ameona fursa kwa Mandonga au alichofanya ni sasa??

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents