Burudani
Maua Sama aeleza namna wimbo ‘Iokote’ ilivyompa gari ya tsh milioni 80 (Video)
Msanii wa muziki, Maua Sama amefunguka ishu ya kununua gari aina ya Rav4 New Model ya mwaka 2017 kwa tsh milioni 80 kwa pesa alizozipata kupitia wimbo, Iokote’