Michezo
Mayweather aamua kuingia kwenye kazi yake ya Upromota
![](https://bongo5.com/wp-content/uploads/2016/11/3A73CBAB00000578-0-image-a-13_1479334605878.jpg)
Bondia nyota Floyd Mayweather ameamua kuweka hadharani kazi ya upromota baada ya kudiawa kufanya kimya kimya.
Mabondia Badou Jack (kushoto) na James DeGale (kulia) huku Mayweather akiwa ni promota
Mayweather ambaye amesha staafu baada ya kushinda mapambano 49, ameonekana akisimamia pambano la mabondia Badou Jack na James DeGale yeye akiwa ni promota.
DeGale (23-1-KO14) na Jack (20-1-2-KO12) mchezo huo utafanyika kwenye ukumbi wa Brooklyn Barclays Center, January 14,Mwakani 2017.