Bongo5 ExclusivesHabariMichezo

Mbeya City yafuata nyayo za Simba na Yanga, waingia mkataba na Parimatch

Kampuni ya kubashiri ya Parimatch imeingia mkataba na klabu ya Mbeya City siku ya leo wakiwa kama mdhamini mkuu wa klabu hiyo inayoshiriki ligi kuu nchini Tanzania bara NBC.

Wakiongea na wana habari Parimatch wameeleza kuwa mkataba huo una faida pande zote mbili na kuamua kufanya kazi na mbeya City ni kwa sababu Mbeya City wana mashabiki wengi nchini.

Wameongeza kuwa mbali na pesa taslimi ambazo Mbeya City watakuwa wananchukua wamekubaliana kuwa wanatoa vifaa na kufanya marekebisho ya uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya.

 

Related Articles

Back to top button