Habari

Membe ni turufu kwetu ACT Wazalendo – Maalim Seif

Mgombea nafasi ya Urais kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo kwa upande wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad amedai kuwa ujio wa Membe ndani ya chama hicho ni turufu kwao.

“Membe ni turufu na mimi nadhani leo siyo tu Magogoni hata Dodoma leo hawalali, leo wameona looh! kumbe tulichokoza na ndugu zangu hawajifunzi, wao wanadhani wanamuadhibu mtu kumbe wanamjenga mtu” – Seif Sharif Hamad

“Shukrani maalum kwa ndugu yangu Membe, tunajua kwamba hukuwa na uamuzi mwepesi, tunajua kwamba karibu vyama vyote vya upinzani vilikuhitaji, lakini hatimaye ukatafakari na ukaamua kuja kwetu, kwetu sisi hiyo ni heshima kubwa sana”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents