Habari

Mh. John Heche aunganishwa na viongozi wengine Chadema

Hatimaye Mbunge wa Tarime Vijijini(CHADEMA), John Heche leo amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu  na kuunganishwa kwenye kesi namba 112/2018 inayowakabili Viongozi wengine wa Chama  hicho,

Wakili wa serikali, Faraja Nchimbi amemueleza Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri kuwa wanaomba kumuunganisha Heche katika kesi inayowakabili wenzake ambapo yeye atakuwa mshtakiwa wa nane.

John Heche  ameachiwa kwa masharti ya dhamana na anahitajika kuwasili  cha Polisi Central kila Ijumaa huku kesi hiyo imeahirishwa hadi tarehe 16 Aprili mwaka huu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents