Habari
Mh. Mbowe, Halima Mdee, Lema waripoti Polisi (+Video)
Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe wamewasili Kituo cha Polisi-Central kwaajili ya mahojiano na Jeshi la Polisi. Mbowe na Viongozi wenzake waliitwa kwa mahojiano na Jeshi la Polisi, Dar es salaam kuhusiana na maandamano waliyoyafanya. Tazama walivyotinga polisi leo.