Michezo
Milton Karisa anukia Msimbazi
MILTON KARISA UPDATES – Klabu ya Simba imeanza mazungumzo na Milton Karisa ambaye ameuambia Uongozi wa Vipers anahitaji kuondoka klabuni hapo kuelekea msimu ujao. – Mazungumzo yanaendelea vizuri na ameandaliwa miaka miwili ikiwa kila kitu kitakamilika hivi karibuni.