Habari

Miyeyusho amtwanga Nassib Ramadhan kwa T.K.O katika raundi ya kumi


Bondia Fransic Miyeyusho jana jioni alimtwanga Nassib Ramadhan kwa T.K.O katika raundi ya kumi ya pambano katika pambano la kugombea mkanda wa WBF uliofanyika katika ukumbi wa Sab Saba PTA Hall.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents