Burudani
Mjapan anaondoka Tanzania akiwaza supu ya utumbo (Video)
Awaimbia marafiki zake Kwangaru ya Harmonize kuwaaga
Mjapan Ikwito ambaye alikuwa nchini Tanzania kwa miaka 3 ameondoka nchini na kwenda Japan baada ya kuwa Tanzania kwa shughuli mbalimbali za kijamii pamoja na biashara.
Mjapan huyo aliwaaga marafiki zake wa Tanzania kwa kuwaimbia wimbo Kwangwaru wa @harmonize_tz , alidai vitu vya Tanzania ambavyo atavikumbuka akiwa Japan ni Supu ya Utumbo ambayo kule hakuna.