Michezo

Mkwasa atangaza kuahirishwa mkutano mkuu wa Yanga (+Video)

Katibu Mkuu wa klabu ya Yanga, Charles Boniface Mkwasa amesema kuwa mkutano mkuu wa wanachama wa Yanga umesogezwa mbele kufuatia kuwa na majukumu mengi ya timu hiyo kwenye michuano ya kimataifa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents