Burudani

Mrisho Mpoto yupo kwenye mazunguzo kufanya kolabo na Oliver Mtukudzi

Kuna uwezekano mkubwa wa kolabo kati ya Mrisho Mpoto na msanii wa Zimbabwe, Oliver Mtukudzi.

Mtoto wa Mpoto Manju akimshikia baba yake mic
Mrisho Mpoto

Akizungumza na Bongo5 jana, Mpoto amesema mazungumzo yao yamefanikiwa kwa kiasi kikubwa hali iliyompa matumaini ya kuwepo kwa kolabo hiyo.

oliver2007_guitar

“Nimefanya mazungumzo ya kolabo na Oliver Mtukudzi wa Zimbabwe kwahiyo kuna possibility kubwa kidogo ya kufanya na Oliver Mtukudzi,” amesema Mpoto.

“Lakini kuna condition fulani alikuwa amenigea. Kwahiyo najaribu kuangalia mazingira na nini na nini, kwa sababu yeye amesema kuna event itafanyika Tanzania, kampuni fulani itakuwa inamleta huku kwahiyo ikionekana amekuja mara mbili huku inaweza ikamharibia hhiyo kitu ambayo ni kama show hivi. Kwahiyo tupo kwenye mazungumzo lakini project hii nataka itoke haraka sana,” aliongeza.

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents