Burudani

Msibani kwa Kiroboto aliyefariki ghafla baada ya kuanguka chooni (Video)

Bongo5 imefika kwa Azizi Ally Temeke jijini Dar Es Salaam kwenye msiba wa msanii Kiroboto Matarumbeta aliyefariki usiku wa kuamkia leo baada ya kudaiwa kuanguka chooni.

Mmoja wa rafiki zake wa karibu amedai jana walishinda na msanii huyo na hakuwa na tatizo lolote mpaka alivyojisikia vibaya majira ya usiku wakati anajiandaa kwenda kwenye show.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents