Habari

Mtandao wa wanafunzi Tanzania wanena mazito baada ya kiongozi wao kupotea (Video)

Baada ya Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo kupotea usiku wa jana wanafunzi hao wametoa wito kwa jeshi la polisi kuchukua hatua za haraka kuhakikisha anapatikana akiwa hai.

Wakiongea na waandishi wa Habari leo Machi 07, 2018 jijini Dar es salaam, Wanafunzi hao wamewataka Watanzania na taasisi binafsi kupaza sauti juu ya vitendo vya kupotea kwa watu nchini. Tazama video hapa chini

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents