HabariMuziki

MUSIC AUDIO: BroDaniel K Ft. Grays Grayson – Raha na furaha

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, @BroDanielK ameachia audio ya ngoma yake mpya ya ‘Raha na Furaha’ na anakuomba mdau wa muziki mzuri usikilize audio hiyo kwa kubofya link hapa chini.

Kwenye wimbo huu amemshirikisha Grays Grayson, Na producer wa ngoma ni Davo Beats kutoka Nchini Uganda.

Pia unaweza kusikiliza wimbo wote kwa kubofya link iliyopo kwenye Bio yake hapa Instagram, anatumia @BroDanielK, Enjoy.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents